Yanga robo fainali klabu bingwa: Pacome Zouzoua mtambo wa kuzalisha mabao, hana baya

Yanga robo fainali klabu bingwa: Pacome Zouzoua mtambo wa kuzalisha mabao, hana baya

Viongozi wa Yanga wameyapata haya mafanikio siyo kwa bahati mbaya. Wako serious ktk kusajili wachezaji na hata uwekezaji wao hauna mizengwe.

Upande wa pili (Simba SC) wana la kujifunza, maana wao kuanzia uwekezaji mpk usajili umejaa janja janja tu. Derby ya Kariakoo inayofuata Simba watapigwa 10
Duh 🙄 !!
 

Attachments

  • FB_IMG_17089618746562490.jpg
    FB_IMG_17089618746562490.jpg
    391.5 KB · Views: 2
Back
Top Bottom