wazunguwawili
JF-Expert Member
- May 29, 2019
- 3,984
- 4,132
Asee inapotajwa yanga usiitaje simba mana Simba ni katimu kadogo sanakwa hiyo simba wamesajili wabrazil, na CEO msauzi kwa ajili ya kurcheza na Namungo?
Wameomba kwa Mo au wanatoa hela zao?Asee inapotajwa yanga usiitaje simba mana Simba ni katimu kadogo sana
Na kimetokea ubavuni mwa Yanga hicho kitimu.Asee inapotajwa yanga usiitaje simba mana Simba ni katimu kadogo sana
Wameshajaribu huko na kuona kua sio rahisi kama tunavyofikiria.. Unahitaji kuwa na mipango na mitazamo hasi. Sio wasomi wazima wanakuja na argument ya Rangi za nembo. Kama plan ndio hizo hata Mzee wangu Akilimali angaweza kuongoza team bila ya shakaHizi Club zinaweza kuishi bila michango hasa hasa zikitumia jezi vizuri na hata kuingia mkataba na makampuni ya nguo na bidhaa. Sema kwa sababu hapa ni Bongo ,basi sawa
Nakupa mfano nadhariaWameshajaribu huko na kuona kua sio rahisi kama tunavyofikiria.. Unahitaji kuwa na mipango na mitazamo hasi. Sio wasomi wazima wanakuja na argument ya Rangi za nembo. Kama plan ndio hizo hata Mzee wangu Akilimali angaweza kuongoza team bila ya shaka
Mtoa post mwaka 1989 ulikuwa na umri gani? Nauliza hivyo kwa sababu timu yako ya Simba ilikuwa ishuke daraja na RTC Kigoma ikaokolewa na Yanga. Leo unaibeza Yanga mwokozi wako? Nadhani ulikuwa hujazaliwa.Huko mwanza hali sio shwari kwa wanajangwani. Sare dhidi pamba sio habari sana maana uwezo wa timu bado tia maji tia maji.
Hapa nazungumzia kuchangisha fedha taslimu tshs milioni 4 na ahadi za milioni 6.
Jumla ikiwa ni tshs milioni kumi.
Idadi ya watu wanaotajwa kuhudhuria ni takribani watu mia sita ( 600).
Kwa uwiano huu inaashiria huko kanda ya ziwa hasa kwa mashabiki wa yanga vyuma vimekaza hivyo hamna namna ya kubadili matokeo ama la mashabiki wamechoka na hii tabia ya omba omba.
Cc: vodacom na red logo yetu.
Nafikiri unatania... Unazungumzia Yanga au Barcelona mkuu. Hivi kwenye ule ufunguzi waliuza Jezi ngapi? Na kila jezi ni bei gani? Na walipata kiasi gani?. Yanga na Simba hao hao washabiki wao wanaolalamika kiingilio cha Elfu 5 kwenye mechi..Washabiki wangapi wana ambao wanakipato cha laki moja kwa mwezi ambao wanaweza ku-save kununua Jezi bila kuharibu budget ya nyumbani. Hao Yanga ambao walifanya Harambee mwanza na kupata 5milion, na hizo dola 500 kachangia kocha Mwinyi Zahera... Hii ni utterly Nadharia.Nakupa mfano nadharia
Yanga wakiorganize na kampuni nzuri ya jezi zikatengenezwa jezi bora wakapanga bei ya laki na nusu kwa jezi nina uhakika Uhakika wa kuuza jezi laki mbili kwa kila mwaka upo
Hapo wakiwa wamekubaliana na mtengeneza jezi kuwa pasu mapato yanakuwa 75,000 *200000=15,000,000,000
Mapato ya Shilingi bilioni 15 kutoka kwenye jezi kila mwaka
Mbona sioni mahusiano na alichoandika na hii comment yakoMtoa post mwaka 1989 ulikuwa na umri gani? Nauliza hivyo kwa sababu timu yako ya Simba ilikuwa ishuke daraja na RTC Kigoma ikaokolewa na Yanga. Leo unaibeza Yanga mwokozi wako? Nadhani ulikuwa hujazaliwa.
Kumbe yanga ni wajinga tangu zamani hivi?Mtoa post mwaka 1989 ulikuwa na umri gani? Nauliza hivyo kwa sababu timu yako ya Simba ilikuwa ishuke daraja na RTC Kigoma ikaokolewa na Yanga. Leo unaibeza Yanga mwokozi wako? Nadhani ulikuwa hujazaliwa.
Nafikiri unatania... Unazungumzia Yanga au Barcelona mkuu. Hivi kwenye ule ufunguzi waliuza Jezi ngapi? Na kila jezi ni bei gani? Na walipata kiasi gani?. Yanga na Simba hao hao washabiki wao wanaolalamika kiingilio cha Elfu 5 kwenye mechi..Washabiki wangapi wana ambao wanakipato cha laki moja kwa mwezi ambao wanaweza ku-save kununua Jezi bila kuharibu budget ya nyumbani. Hao Yanga ambao walifanya Harambee mwanza na kupata 5milion, na hizo dola 500 kachangia kocha Mwinyi Zahera... Hii ni utterly Nadharia.
Hata huyo Mwenyekiti Prof. Msolwa na Mwakalebela walifikiria hivyo. Ni watu wangu wakaribu, ila jaribu kuwauliza kuhusu mwitikio wa Wananchi katika kununua jezi!! Huu ni utani wa hali juu
Kuna kamari mbili ambazo huwa siwezi cheza. Kufanya biashara ya kwente makaratasi na kulima kwa kutumia simu...
Anataka huruma huyoooMbona sioni mahusiano na alichoandika na hii comment yako
nafikiri CEO mpya wa Simba ameliona ndio maana anasema anataka kuwageuza wanachama wa simba na mashabiki kuwa wateja wa timu hiyo hasa baada ya kuona umati wa watu siku ya simba dayHizi Club zinaweza kuishi bila michango hasa hasa zikitumia jezi vizuri na hata kuingia mkataba na makampuni ya nguo na bidhaa. Sema kwa sababu hapa ni Bongo ,basi sawa