Yanga SC 0-0 Club Africane | CAF Confederation Cup | Mkapa Stadium

[emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji16][emoji16][emoji16] Refa malizaaaaaaaaaaa tunakaa Mbali
 
Dakika 85'

Yanga 0-0 Club Africain
 
Hahahaha naskia kaja na begi na Ali libeba Morrison kutokea kwake.
Ntakua wa kwanza kushangaa kama Utopolo watambakisha huyu kocha,mechi za kimataifa ni ya Zalan tu ndo kashinda tena kwasababu Zalan ni vibonde mechi zingine zote kafungwa na kadroo.

au labda kwasababu malengo ya Yanga sio kimataifa basi wambakishe tu.
 
Mimi shabiki wa Club Africain naumia sana kutoka suluhu na yanga...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…