ToniXrated
JF-Expert Member
- Sep 21, 2022
- 1,134
- 2,993
Ahsante. Ni moja ya matokeo katika mpira lakini yanaudhi sana yaani. π
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Nabi afutwe kazi Leo leo
Utabiri umetimia. Yanga kashinda 0-0Natamani watani washinde, lakini tatizo bado wana makamasi, hii michuano ya mikubwa hawaiwezi.
Natabiri ushindi kwa Yanga 0-0.
Hapa maombi yenu ndugu zangu yajikite kwenye kupunguza wingi wa magoli.Hakika Mkuu. Japo napata uzito kusema kule tunaeza pata matokeo yenye kutuvusha hatua inayofuata.
Nitumie broKuna clip inatembea inaonesha mashabiki wa yanga wakiwafanyia vurugu team ya Tunisia
Ova
Mrembo unateseka bure. Hamia Simba chama kubwa au njoo utushangilie maveteran uone kabumbu safi.Ahsante. Ni moja ya matokeo katika mpira lakini yanaudhi sana yaani.
Ushabiki wa bongo unatia hasira,huku kwenye kibanda watu wamelipuka utadhani Yanga kashinda πππππMashabiki wa simba wahangaika kama wanataka kutaga
yanauamiza maneno ya wanasimba tu na hizo kejeli zao lakini hatupo pabaya sana.Tufuile mweeee
Sasa imagine msimu huu Yanga ndio INA kikosi bora kabisa kuwahi kutokea, kwa hili siku za Nabi kuwa Yanga zinahesabika, kiu ya Wana Yanga ni international games ambazo kimsingi zimemshinda.Hakika Mkuu. Japo napata uzito kusema kule tunaeza pata matokeo yenye kutuvusha hatua inayofuata.
ππ Mkuu umefanya nimecheka huku ni hasira debe. Lol.Mashabiki wa simba wahangaika kama wanataka kutaga
Duh mashabiki wa simba tena ..hamuwazi timu yenu mkienda tunisia mnatokaje ?Mashabiki wa simba wahangaika kama wanataka kutaga