Yanga SC 0-0 Club Africane | CAF Confederation Cup | Mkapa Stadium

Simba mechi ya leo angemaliza mapema sana hii
 
Daah Yanga mnavunja moyo sana daah sina hamu kabisa kuwashabikia.
Mnakubalije kuwa wa mchangani siku zote.
Wanaume wanaupiga mwingi kimataifa ninyi mmeridhika mchangani? Aaaaah.

Inatosha
 
Hakika Mkuu. Japo napata uzito kusema kule tunaeza pata matokeo yenye kutuvusha hatua inayofuata.
Mvuke kwenda wapi? Avic Town au?? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Makundi yenu n WhatsApp, telegram na Facebook.

Wapiiiiii mtaniiiiiiiiiiii!! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
We ndiyo umeongea pointi,Yanga akiendelea hivi misimu mitatu mfululizo atafika mbali
 
Bora ingeanguka tu Mtani. (Jokes)

Nawaza hivi tungefungwa mngekuwa na hali gani nyie. Lol
Yaan mtani mngefungwaaa leo, mbna ningewehuka, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23],
Kimataifa mtasikia redion tyuuh.
 
Nabi akienda tunisia mechi ya marudiano asirudi bongo.. Abaki huko kwao
 
Ni kweli lakini usiifananishe Kipanga na Yanga bana.
Sasa mtani Yanga na kipanga ina utofauti gani? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
We ndiyo umeongea pointi,Yanga akiendelea hivi misimu mitatu mfululizo atafika mbali
Nabi amekaa na timu muda wa kutosha sana, halafu kumbuka Nabi anasaidiwa na Kaze ambaye alikuwa kocha mkuu, kwa lugha rahisi Yanga tuna makocha Wawili wenye hadhi sawa.

Mpira wa Africa kupata matokeo ugenini ni Mara chache sana lakini mechi unatakiwa umalize nyumbani.
 
We ndiyo umeongea pointi,Yanga akiendelea hivi misimu mitatu mfululizo atafika mbali
Inategemea sasa Mkuu wachezaji hawa tunaowaona sasa watakuwepo kipindi hicho?

Mie huwa naona unapokuwa na kikosi kizuri ndo wakati wa kufanya vizuri pia sababu hiyo miaka miwili sijui mitatu ya kusema tutafika mbali si ajabu wachezaji hawa wote hata wasiwepo tukawa na wengine wapya ambao mwisho wa siku tutasema hawajazoweana.
 
Bado, save hii comment, vile vifo unavyovisikia vya mkanyagano kwenye nchi za wenzetu mtakuja kuvishuhudia live Tanzania, naandika kitu ninachokijuwa vizuri.

Hizi timu mbili zinamilikiwa na Ccm na imefaulu kuwapumbaza Watanzania.
Unatia huruma mpaka unaonekana una busara
nyinyi ni wabovu subiri muwapokee wageni tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…