Yanga SC 0-0 Mbeya City | Benjamin Mkapa | NPL

Yanga SC 0-0 Mbeya City | Benjamin Mkapa | NPL

Nawakumbusha TU yanga

Leo mnapoteza point 2

Simba mdogo mdogo anakuja

Mkishtuka tayari mnakairibiwa

Mtacheza kwa presha kila mechi

BADO POINT 8 .......

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Kwani simba wao wameamua kushinda mechi zote zilizobaki? Usihitimishe, mapema sana bado, msimu upo mzunguko wa kwanza mdo unaishia.
 
Back
Top Bottom