Yanga Sc 0-0 Simba SC| Ligi Kuu NBC | Benjamini Mkapa Stadium

Ishu ya jana sikuongelea kuhusu kum criticize Mayele bali ni wewe kum criticize Aucho. Ndio maana nikakwambia Aucho ataonekana kama hakufanya kitu endapo Yanga ingekuwa haikutengeneza chances au endapo Simba wameshinda. Kama timu imetengeneza chances na pia imeweza kuzuia wapinzani wasishinde hapo majukumu ya aucho yamefanyika kushindwa kufunga ni tatizo la ma straika.
 
Hii mechi kama sio draw basi tofauti ya goli moja kwa atayeshinda
 
Hapa sasa ndo narudi pale pale kwenye mabishano yetu ya jana, kuwa kama utaendelea kufurahia hizi attempts za bila magoli ambapo zilikuwa na possibility ya kusababisha goli na kuona style hiyo ni bora basi mnasafari ndefu sana

Nyie kwa uchezaji wenu huo mna safari fupi?
 
Nyie kwa uchezaji wenu huo mna safari fupi?
Nyinyi mnayo safari ndefu? Na kama utasema mnayo ndefu, mmeianza lini hiyo safari?

Uto mnavyoongea utafikiri mmekuwa mkisumbua kwa miaka kadhaa, kumbe ndo mmeanza baada ya muda murefu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…