Pool Table
JF-Expert Member
- Jan 30, 2020
- 1,680
- 2,889
Nesi aucho naona atapwaya huyuKwa umri wa Aucho,Bangala na Saidoo na nafasi ngumu wanazocheza natumaini kipindi cha pili kuna pahala watapwaya hawa maajuza.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nesi aucho naona atapwaya huyuKwa umri wa Aucho,Bangala na Saidoo na nafasi ngumu wanazocheza natumaini kipindi cha pili kuna pahala watapwaya hawa maajuza.
Hii ndo funika Kombe mwana haramu apite...!Possessions eti 50/50!!!!
Ya kweli haya?
Au balancingnaziation
Ishu ya jana sikuongelea kuhusu kum criticize Mayele bali ni wewe kum criticize Aucho. Ndio maana nikakwambia Aucho ataonekana kama hakufanya kitu endapo Yanga ingekuwa haikutengeneza chances au endapo Simba wameshinda. Kama timu imetengeneza chances na pia imeweza kuzuia wapinzani wasishinde hapo majukumu ya aucho yamefanyika kushindwa kufunga ni tatizo la ma straika.Sijui anakosa vipi confidence maana anatumia nguvu kubwa kufika na mipkra langoni lakini akifika kwenye 18 ana freeze.
Kuna mpira ambao hata sijaelewa sababu ya ye kushindwa kupiga shuti ilikuwa ni nini matokeo yake mpira unaondolewa na kuwafanya waanze upya
Hapa sasa ndo narudi pale pale kwenye mabishano yetu ya jana, kuwa kama utaendelea kufurahia hizi attempts za bila magoli ambapo zilikuwa na possibility ya kusababisha goli na kuona style hiyo ni bora basi mnasafari ndefu sana
Takwimu za mchongo.Possessions eti 50/50!!!!
Ya kweli haya?
Au balancingnaziation
Tunaagalia tv tofaut mzee?
Duh!...yamekua hayo tena ?Sema tu Yanga leo inacheza na timu iliyobobea kwenye ushirikina Afrika nzima. Kinyume na hapo, mpaka muda huu ingekuwa iko mbele kwa goli 2 - 0.
Wachawi fcDuh!...yamekua hayo tena ?
Hio njano ya Moloko ni uongo kabisaUsikute anaogopa kulaumiwa hivyo anayafanya hayo aonekane game ameibalance.
Hapa sasa ndo narudi pale pale kwenye mabishano yetu ya jana, kuwa kama utaendelea kufurahia hizi attempts za bila magoli ambapo zilikuwa na possibility ya kusababisha goli na kuona style hiyo ni bora basi mnasafari ndefu sana
Nisingekukuta hapa ningejinyonga..!Takwimu za mchongo.
Nyinyi mnayo safari ndefu? Na kama utasema mnayo ndefu, mmeianza lini hiyo safari?Nyie kwa uchezaji wenu huo mna safari fupi?