Yanga Sc 0-0 Simba SC| Ligi Kuu NBC | Benjamini Mkapa Stadium

Yanga Sc 0-0 Simba SC| Ligi Kuu NBC | Benjamini Mkapa Stadium

Aaah yanga goli hata mojaaaa
yaaani
FB_IMG_16513330738282166.jpg
 
Kaze amefanya sub ambazo hazijaisaidia timu! Badala ya Dennis Nkane, angemuingiza Crispin Ngushi. Dogo mechi imemzidi nguvu.

Yaani haonekani kabisa.
 
Back
Top Bottom