OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Kifupi tunatakiwa kufanya overhaul mbeleBoccoπππππ
Eh pole
Ni kawaida ku-adapt mazingira, ukiishi na chura ni lazima uwe chura tu.Hivi huyu Juma Shaaban ndo Yule Wa AS Vita kweli.?
Sio kukamia tu mkuu, ukiondoa unazi utagundua kwamba huyo jamaa anaicheza nafasi yake kwa ufanisi.Sub za simba zimefanikiwa! Kwa Yanga kocha amepuyanga.
Enock Inonga anastahili pongezi kwa kukamia mechi.