Mkalale na viatu.Dah! Hongereni Mo Fc kwa kupata sare.
Scouting za Simba ninaziaminia sanaEnoch baka ni hatr sana huu mutu, hapoi kila mechi fire
Sub zake zingetumaliza aisee! Yaani jamaa tuliwakamata vizuri. Baada ya mabadiliko tu, tukaanza kuelemewa.KAZE HOVYOOO
Hakuna mganga aliekula rushwa🤣0-0 kwa mara ya pili mfululizo waganga wa timu zote mbili wameshindwa kuruhusu timu zao zipate magoli
Ni scouting hiyo hiyo iliwaleta Serunkuma na Chikwende.Scouting ya Simba ninaiaminia sana