Yanga Sc 0-0 Simba SC| Ligi Kuu NBC | Benjamini Mkapa Stadium

Yanga Sc 0-0 Simba SC| Ligi Kuu NBC | Benjamini Mkapa Stadium

forward ..kiufundi walikuwa hivyo kabisa
 
Huyu kaze mi nilisema lazima atamgeuka nabi

Nabi kwakua ana adhabu ya kadi nyekundu basi kaze kapanga kikosi anacho kijua yeye
 
Daah huyu Nkane na Mayele kama wangekuwa makini, sasa hivi watu wangekuwa wanalala na viatu.
 
Back
Top Bottom