Yanga Sc 0-0 Simba SC| Ligi Kuu NBC | Benjamini Mkapa Stadium

Its not over yet, tunawasubiri kwenye robo fainali ya kombe la Azzam, hili la la Nbc premier league tayari biashara imeisha ubingwa ni jangwani halina ubishi hilo.
 
Azam Confederation Cup inatakiwa wawahishwe hawa kabla ya Fainali asije akakimbia mmoja wapo. Ikiwezekana raund inayofuata tu wakutane.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…