kelphin
JF-Expert Member
- Dec 24, 2019
- 9,872
- 16,319
moja kati ya game ya hovyo kwa miaka ya karibuni
Sahihi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
moja kati ya game ya hovyo kwa miaka ya karibuni
Ilikua free kick ya chama ile...Boko na free kick wapi na wapi jamani
CCM Kirumba ni nyumbani kwa Yanga. Hivyo msijipe moyo.Tutamchapa FA
Kidogo tuwanyoeSub zake zingetumaliza aisee! Yaani jamaa tuliwakamata vizuri. Baada ya mabadiliko tu, tukaamza kuelemewa.
Kaniuzi Sana Makambo Alikuwa Anahusika Kule Mbele Sio Yule Nkane Nguvu Hana Yule Mtoto Hovyo Yani Hata Akiwa Peke Yake AnababaikaSub zake zingetumaliza aisee! Yaani jamaa tuliwakamata vizuri. Baada ya mabadiliko tu, tukaamza kuelemewa.
Hakika hakuna labda MAHAKAMA tu.Nani atamfunga Yanga?
Hamna namna... ndiyo uwezo wa kochaSUB ZA KIJINGA HOVYOO KABISAAAA
hakuna hata shuti limepigwa kuanzia makocha hadi refa wanataka kubalance matokeomoja kati ya game ya hovyo kwa miaka ya karibuni
Hahaha yamekuwa hayo tena? Kubalini tu kuwa team haiko kama mnavyoikuza.CEDRIC KAZE HAKUNA KITU
Wale wengine Dk 80 zote walipumuliwa waoDk 10 za mwisho watu wamevuta pumzi ya Moto.
Dah! Kibunenga ametusumbua sana dakika za mwisho. Ahueni wananchi tunaendeleza wimbi la kuto kupoteza hata mchezo mmoja katika ligi mpaka sasa.Kidogo tuwanyoe
"Kama"Daah huyu Nkane na Mayele kama wangekuwa makini, sasa hivi watu wangekuwa wanalala na viatu.