Yanga Sc 0-0 Simba SC| Ligi Kuu NBC | Benjamini Mkapa Stadium

Yanga Sc 0-0 Simba SC| Ligi Kuu NBC | Benjamini Mkapa Stadium

Jamaa inabidi aanzishe tuisheni ya jinsi ya kufanya clean tackle [emoji122][emoji122] [emoji122]
 
Enonga kaja kurudisha imani yake kwa mashabiki baada ya ku mess up kule south
 
Shida ya Simba pale mbele kwenye final third yaan ni ufala ufala tu ndiyo umejaa
 
Back
Top Bottom