Yanga SC 0-0 Tanzania Prisons, Uwanja wa Mkapa, NBC Premier League

🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣
Atayeokota ule mpira unakuwa wa kwake
🀣🀣🀣🀣🀣 Hebu huko.
 
Hivi na nyie huwa mnakosea? Waombeni mrudiane ili mshinde basi. πŸ€£πŸ€£πŸ’ƒ
🀣🀣🀣
Daah!!!! Yamekuwa hayo tena🀣. Rematch ya kutafuta ubingwa☝️🀣🀣. Soka la bongo burudan sana.

Hivi vilabu viwili vya mpira na mashabiki wake burudani na tiba tosha kabisa.πŸ€Έβ€β™€οΈπŸ€Έβ€β™‚οΈ
 
Gape la point 11 unafurahia na kuna kipindi gape lilipungua hadi point tano na simba akawa na mechi moja mkononi ili akishinda ziwe mbili ila gape likaongezeka hadi 10

Kuna muda gape lilifika point 7 ila likaongezeka tena hadi 10

Comfortably tunachukua ubingwa kwa gape la point 10
 
Mtachukua ubingwa ila sio kwa gape la points 10, hazitazidi 6.
 
Mtachukua ubingwa ila sio kwa gape la points 10, hazitazidi 6.
Na hii ni kutokana na ubora Wa kila timu kwenye ligi.....kila timu kwasasa IPO Imara sana

Ni tofauti kabisa na Miaka ya nyuma
 
Salama yenu ni kutwaa ubingwa. Imagine gap la point 11 tunawapeleka mnakosa ujasiri 🀣
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Tatizo wenzetu mpo kwenye kutafuta cha kuwasahaulisha yanayoendelea kwenye msimamo sasa mkipata vitu kama hivi basi maji hayanyweki kwa jirani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…