Yanga SC 0-0 Tanzania Prisons, Uwanja wa Mkapa, NBC Premier League

Tukumbuke jambo 1 kwamba, Simba Sc miaka yote huwa anampita Yanga baada ya kutoka kwenye mashindano ya kimataifa.

Jumatano Simba akishinda linabaki gap la point 8 huku kila mmoja akibaki na michezo 7.

Michezo 7= 21 points.
Hapo Simba Sc ashinde match zote halafu mengine tutajuana mbele kwa mbele
 
Mayele alikuwa kwenye timing nzuri ya kufunga bao mwisho wa siku kacheza makida mpira ukapokwa akabaki kaduwaa haelewi hata mpira umemtokaje
Mwenye nafasi alikuwa Feisal,na ndiye alitoa pasi
 
Tukumbuke jambo 1 kwamba, Simba Sc miaka yote huwa anampita Yanga baada ya kutoka kwenye mashindano ya kimataifa.

Jumatano Simba akishinda linabaki gap la point 8 huku kila mmoja akibaki na michezo 7.

Michezo 7= 21 points.
Hapo Simba Sc ashinde match zote halafu mengine tutajuana mbele kwa mbele
Simba alikuwa anakuwa na Viporo, saizi añgekuwa na mechi za viporo 5 za kushindia ubingwa saizi ni jino kwa jino
 
kuroga mroge penati mkose na mpira pia usipatikane
Haiwezakani kabisa Kazerlona anatuhujumu 😂😂
 
😂😂😂😂😂😂

255714452674_status_baccbe91affa4e2ab97f33f6117cb0c3.jpg
 
Nawashangaa wana Yanga mnaolia na haya matokeo.....wakati ni matokeo bora kabisa na mnalia kuhusu ubingwa ambao hamjachukua miaka 4 tu hahahaha

Kuna watu tunashabikia timu ambazo ina Miongo miwili haijachukua ubingwa na tunakula vichapo mfululizo na maisha yanaenda

Yaani mnalia na hii Yanga ambayo ni ya moto kabisa
 
Tukumbuke jambo 1 kwamba, Simba Sc miaka yote huwa anampita Yanga baada ya kutoka kwenye mashindano ya kimataifa.

Jumatano Simba akishinda linabaki gap la point 8 huku kila mmoja akibaki na michezo 7.

Michezo 7= 21 points.
Hapo Simba Sc ashinde match zote halafu mengine tutajuana mbele kwa mbele
Ile game ya Namungo tulishagive up title ya Ubingwa ndio maana tuliidharau. Bila hivyo tungekuwa tunaongea gap la point sita hapa..
 
Tukumbuke jambo 1 kwamba, Simba Sc miaka yote huwa anampita Yanga baada ya kutoka kwenye mashindano ya kimataifa.

Jumatano Simba akishinda linabaki gap la point 8 huku kila mmoja akibaki na michezo 7.

Michezo 7= 21 points.
Hapo Simba Sc ashinde match zote halafu mengine tutajuana mbele kwa mbele
Simba alikosea sana kutoa droo na Polisi na Namungo. Zile ni droo za kujitakia
 
Back
Top Bottom