fuentte
JF-Expert Member
- Jul 30, 2015
- 2,809
- 8,032
Sio kwamba yanga hawakupenda kutembeza bahasha,ila hizi timu za taasisi za serikali (JKT na PRISON) hazipokei rushwa.Tulikuwa tunasema hawa jamaa walikuwa wakinunua mechi na marefa pia. Sasahivi timu ambazo ziko na hatihati ya kushuka daraja hawakubali kuuza ndio maana unaona wanashindwa kuwafunga..
Yanga hamna timu pale, na CAF kama kawaida atapigwa nje ndani..