Yanga SC 0-0 Tanzania Prisons, Uwanja wa Mkapa, NBC Premier League

Yanga SC 0-0 Tanzania Prisons, Uwanja wa Mkapa, NBC Premier League

Tulikuwa tunasema hawa jamaa walikuwa wakinunua mechi na marefa pia. Sasahivi timu ambazo ziko na hatihati ya kushuka daraja hawakubali kuuza ndio maana unaona wanashindwa kuwafunga..

Yanga hamna timu pale, na CAF kama kawaida atapigwa nje ndani..
Sio kwamba yanga hawakupenda kutembeza bahasha,ila hizi timu za taasisi za serikali (JKT na PRISON) hazipokei rushwa.
 
Ubora wa Yanga upo kwenye uchambuzi tu lakini uwanjani ni zero
 
Naam naam baada ya watu kufikiria mpira umeisha refa kaja na kitu cha kipekee na kushangaza kabisa

Kaitisha mpira kati hapa mechi inachezeka giza huku wachezaji wakiwa wameuma viswaswadu mdomoni vikiwasaidia kumulika
 
Ubora wa Yanga uko mdomoni mwa haji
 
  • Thanks
Reactions: BRN
Utopolo bila kutumia nguvu ya Miamala ya pesa ni Sawa na mamba nje ya maji.

Hawana uwezo wowote,

Sasa ndy wanacheza mechi bila kutumia msaada wa Refa,goli kipa na mabeki wa timu pinzani.
 
Heading za magazeti ya kesho

"Yanga waandamana kwa Mama"
 
"GSM kaonyesha hati miliki ya mali zake Makonda matatani kuporwa nyumba"
 
kwenye vibanda umiza mayele kapokea matusi yote yaliyopo hapa ulimwenguni
 
kwenye vibanda umiza mayele kapokea matusi yote yaliyopo hapa ulimwenguni
Hata humu ni watu tu wamestahi na hiyo yote inatokana na wao wenyewe kumsifia mara lkwa mara wameamua kumtunzia fedheha ila sio kama ni wajinga

Wanamsikilizia ikitokea sare ingine hapo ndo utaoni kikomo cha uvumilivu wao
 
Bora tujadili hili, maana mpira una wenyewe. Mayele kila akimiliki mpira anamuona Inonga anamkaba.
Mayele huyu hafiki hata nusu ya uwezo alionao george mpole, yule ni husler sio tegemezi kama yeye kila wakati yupo nyuma kuvizia cross za juma shabani mpaka amejikuta anacheza offside nyingi
 
Goli alilokosa mayele hata bambo hkosi
Mayele??? Ulikuwa unaangalia mechi gani ww? Ile impossible angle aliyorudishiwa na Feitoto? Ukisema Makambo na Morocco sawa ila ile huwezi mlaumu,wakulaumiwa pale mzenji siyo Fiston
 
Mayele??? Ulikuwa unaangalia mechi gani ww?
Mayele alikuwa kwenye timing nzuri ya kufunga bao mwisho wa siku kacheza makida mpira ukapokwa akabaki kaduwaa haelewi hata mpira umemtokaje
 
Back
Top Bottom