Yanga SC 0-0 Tanzania Prisons, Uwanja wa Mkapa, NBC Premier League

Yanga SC 0-0 Tanzania Prisons, Uwanja wa Mkapa, NBC Premier League

MAKOLOKOLO msioaibisha Taifa mlifanya nini hasa zaidi ya kuzurura tu miaka minne yote klabu bingwa na kurudi home kubwatabwata kama waimba singeli [emoji848][emoji38]

Sent from my CPH2185 using JamiiForums mobile app
Ila makolo walikusaidia kupanda ndege japo uliaibisha taifa kwa kubemendwa nje ndani
 
Elimu elimu elimu.

Kinachopambaniwa ni kombe la klabu bingwa wala si kuwa wasindikizaji bora [emoji2]

Sent from my CPH2185 using JamiiForums mobile app
Watakuwa wanawakilisha nchi. Tuwashike mkono kwani wana uzoefu wa kutosha walioupata miaka hii minne Simba akishiriki.

Wamekuwa wakipokea wageni na kubadilishana uzoefu na mbinu za ushindi wa michuano hiyo. Watafanya vizuri tu hawa Yanga msiihofu.
 
Chanzo cha mgogoro ni kwamba Nabi anataka share kwenye ile ng'ombe akilaumu kwanini mwalimu aliyesababisha Mayele kujulikana hajapewa chochote kama heshima

Hizo ni za ndani kabisa
Ng'ombe yenyewe in TB ndio maana mayele anawaza.
 
Hili ni goal (lango) ambapo kwa sheria walizoweka fifa linapaswa kuwa na urefu kwenda juu futi 8

Na mapana ya mita 7.32

1652121263342.png


Cross ya Mayele ilipaa mita 25 kufikia level ya Boeing ya Alaska 737s

Hapo ndipo napotoa sifa kwa surveyor ambaye alitoa ushauri uwanja wa mpira ujengwe sehemu ambazo ndege hazipiti

Aliona mbali
 
Back
Top Bottom