OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
00' Mpira unaanza kwenye dimba la Mkapa
28' Greyson David anaachia mkwaju na kuiandikia KMC bao la kwanza
36' Chars Iyanja anashindwa kuingozea KMC bao la pili baada ya kubaki yeye na goli, mlinda mlango FaruqShikalo alijaribu kutoka kuuwahi mpira lakini aliukosa
45+2' Mapumziko
46' Yaqub anaisawazishia Yanga kwa mpira wa kichwa baada ya mkwaju maridadi wa adhabu ndogo kutoka kwa Seydou
89' Mlinda mlango wa KMC, Juma Kaseja yuko chini baada ya kuumia katika harakati za kuokoa
90+4' Masoud Abdallah anapewa kadi ya pili ya njano na anakwenda nje
90+6' Mwamuzi anapuliza kipenga kuashiria mwisho wa mchezo, Yanga SC 1-1 KMC
=========
Utopolo Al-Albadr FC wapo uwanjani wakimenyana na KMC ya Kinondoni.
Ninakuletea udondozi nikiwa kibanda uzima