Mac Alpho
JF-Expert Member
- Aug 5, 2019
- 13,953
- 27,825
Team ni nne, lakini zitakazoshiriki Champions League ni mbili, nyingine zinaenda Shirikisho. Nikichomaanisha mimi, ni bora Azam ndo awe wapili, Ili yanga aende Shirikisho, Ili kukwepa aibu.teams ni 4 boss lazima utopolo watakuwepo simba yuko busy kuwapambania huko duniani..na simba akifika nusu fainali hata mwakani tutakuwa na teams nne mana points za TFF zitakuwa almost 32
Sent using Jamii Forums mobile app