Yanga SC 1-1 KMC | VPL | Mkapa Stadium

Yanga SC 1-1 KMC | VPL | Mkapa Stadium

Baada ya simba kuzivusha Timu nne CCL, azam wamepata tamaa ya kushiriki. Iwapo yanga atapoteza hii mechi ya leo, atageuka kuwa mshindani wa Azam na sio Simba tena.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mnaulizwa swali simple, badala ujibu tu Yanga ipo nafasi ya ngapi unaleta maeleeezo yasiyohusiana na swali. Una uswahili sana eeh??

Yanga ipo nafasi ya ngapi?
 
Yanga wametoka sale na KMC ni kwasababu tu wameathirika na Covid 19. Yaani ugonjwa wa Korona.

La wangejipatia ishindi mnono sana yaani.
 
Mnaulizwa swali simple, badala ujibu tu Yanga ipo nafasi ya ngapi unaleta maeleeezo yasiyohusiana na swali. Una uswahili sana eeh??

Yanga ipo nafasi ya ngapi?
Naona umepanic, Hebu fuatilia hiyo comment uone kama nilimquote mtu yeyote. Et umeniuliza, Sasa kwani ni uongo kuwa ubingwa hamuupati au we mwenzetu bado unaota? Game unayofata mkipoteza, hata nafasi ya pili itakuwa ni mashaka makubwa kwenu, na bora iwe hivyo Ili kimataifa twende na Azam fc maana nyinyi ni aibu.

NB;Yanga anaongoza ligi, na atachukua kombe[emoji23].

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mnaulizwa swali simple, badala ujibu tu Yanga ipo nafasi ya ngapi unaleta maeleeezo yasiyohusiana na swali. Una uswahili sana eeh??

Yanga ipo nafasi ya ngapi?
Simba amalize viporo vyake halafu uje kuuliza tena huu utopolo wako
 
Naona umepanic, Hebu fuatilia hiyo comment uone kama nilimquote mtu yeyote. Et umeniuliza, Sasa kwani ni uongo kuwa ubingwa hamuupati au we mwenzetu bado unaota? Game unayofata mkipoteza, hata nafasi ya pili itakuwa ni mashaka makubwa kwenu, na bora iwe hivyo Ili kimataifa twende na Azam fc maana nyinyi ni aibu.

NB;Yanga anaongoza ligi, na atachukua kombe[emoji23].

Sent using Jamii Forums mobile app
teams ni 4 boss lazima utopolo watakuwepo simba yuko busy kuwapambania huko duniani..na simba akifika nusu fainali hata mwakani tutakuwa na teams nne mana points za TFF zitakuwa almost 32
 
.
IMG-20210411-WA0009.jpg
 
Naona umepanic, Hebu fuatilia hiyo comment uone kama nilimquote mtu yeyote. Et umeniuliza, Sasa kwani ni uongo kuwa ubingwa hamuupati au we mwenzetu bado unaota? Game unayofata mkipoteza, hata nafasi ya pili itakuwa ni mashaka makubwa kwenu, na bora iwe hivyo Ili kimataifa twende na Azam fc maana nyinyi ni aibu.

NB;Yanga anaongoza ligi, na atachukua kombe[emoji23].

Sent using Jamii Forums mobile app
teams ni 4 boss lazima utopolo watakuwepo simba yuko busy kuwapambania huko duniani..na simba akifika nusu fainali hata mwakani tutakuwa na teams nne mana points za TFF zitakuwa almost 32.

kwa mfano simba akichukua ligi na FA ina maana utopolo au azam mshindi wa pili naye anaenda klabu bingwa ,wa tatu na wa 4 wanaenda shirikisho
 
Back
Top Bottom