Mkomavu
JF-Expert Member
- Jan 25, 2016
- 11,769
- 16,799
Yanga wengi ni wapare [emoji38][emoji38][emoji38]Ubahili mpaka kwenye kuanzisha nyuzi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yanga wengi ni wapare [emoji38][emoji38][emoji38]Ubahili mpaka kwenye kuanzisha nyuzi
Hujajibu swali, umeleta maelezo yasiyohitajika.Wamewashikia nafasi wanaume
Mnaulizwa swali simple, badala ujibu tu Yanga ipo nafasi ya ngapi unaleta maeleeezo yasiyohusiana na swali. Una uswahili sana eeh??Baada ya simba kuzivusha Timu nne CCL, azam wamepata tamaa ya kushiriki. Iwapo yanga atapoteza hii mechi ya leo, atageuka kuwa mshindani wa Azam na sio Simba tena.
Sent using Jamii Forums mobile app
Siku ligi inaisha utapata jibuHujajibu swali, umeleta maelezo yasiyohitajika.
Yanga ipo nafasi ya ngapi kwenye msimamo wa ligi?
Kweli yanga hatuna kitu kabisa00' Mpira unaanza kwenye dimba la Mkapa
28' Greyson David anaachia mkwaju na kuiandikia KMC bao la kwanza...
Ligi ikiisha hakutakuwa na standing table yoyote inayoonesha matokeo yoyoteSiku ligi inaisha utapata jibu
Bingwa atapatikana vipi?Ligi ikiisha hakutakuwa na standing table yoyote inayoonesha matokeo yoyote
Naona umepanic, Hebu fuatilia hiyo comment uone kama nilimquote mtu yeyote. Et umeniuliza, Sasa kwani ni uongo kuwa ubingwa hamuupati au we mwenzetu bado unaota? Game unayofata mkipoteza, hata nafasi ya pili itakuwa ni mashaka makubwa kwenu, na bora iwe hivyo Ili kimataifa twende na Azam fc maana nyinyi ni aibu.Mnaulizwa swali simple, badala ujibu tu Yanga ipo nafasi ya ngapi unaleta maeleeezo yasiyohusiana na swali. Una uswahili sana eeh??
Yanga ipo nafasi ya ngapi?
Hiyo nafasi inasaidia nini wakati mwenzako Yuko nyuma kwa viporo vinne akishinda tu viporo viwili amekupitaHujajibu swali, umeleta maelezo yasiyohitajika.
Yanga ipo nafasi ya ngapi kwenye msimamo wa ligi?
Simba amalize viporo vyake halafu uje kuuliza tena huu utopolo wakoMnaulizwa swali simple, badala ujibu tu Yanga ipo nafasi ya ngapi unaleta maeleeezo yasiyohusiana na swali. Una uswahili sana eeh??
Yanga ipo nafasi ya ngapi?
Sasa si mpaka ashinde?Hiyo nafasi inasaidia nini wakati mwenzako Yuko nyuma kwa viporo vinne akishinda tu viporo viwili amekupita
Mikia mnajiwekeaga guarantee kabla hata hamjachezaSimba amalize viporo vyake halafu uje kuuliza tena huu utopolo wako
teams ni 4 boss lazima utopolo watakuwepo simba yuko busy kuwapambania huko duniani..na simba akifika nusu fainali hata mwakani tutakuwa na teams nne mana points za TFF zitakuwa almost 32Naona umepanic, Hebu fuatilia hiyo comment uone kama nilimquote mtu yeyote. Et umeniuliza, Sasa kwani ni uongo kuwa ubingwa hamuupati au we mwenzetu bado unaota? Game unayofata mkipoteza, hata nafasi ya pili itakuwa ni mashaka makubwa kwenu, na bora iwe hivyo Ili kimataifa twende na Azam fc maana nyinyi ni aibu.
NB;Yanga anaongoza ligi, na atachukua kombe[emoji23].
Sent using Jamii Forums mobile app
teams ni 4 boss lazima utopolo watakuwepo simba yuko busy kuwapambania huko duniani..na simba akifika nusu fainali hata mwakani tutakuwa na teams nne mana points za TFF zitakuwa almost 32.Naona umepanic, Hebu fuatilia hiyo comment uone kama nilimquote mtu yeyote. Et umeniuliza, Sasa kwani ni uongo kuwa ubingwa hamuupati au we mwenzetu bado unaota? Game unayofata mkipoteza, hata nafasi ya pili itakuwa ni mashaka makubwa kwenu, na bora iwe hivyo Ili kimataifa twende na Azam fc maana nyinyi ni aibu.
NB;Yanga anaongoza ligi, na atachukua kombe[emoji23].
Sent using Jamii Forums mobile app