Utopologist
JF-Expert Member
- Feb 17, 2021
- 998
- 2,506
Baraka Mpenja na misemo yake 🤣 🤣🤣🤣
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sema kimeumanaaaaa
Nendeni ikulu KMC wanyan'ganywe pointi nilisikia kwa CAG nao wana madudu yao.Yanga tunaonewa na TFF
Tuandamane CAS
Hivi Yanga ipo nafasi ya ngapi kwenye msimamo wa ligi?Yaani kwa hicho kikosi bado wana ndoto za ubingwa?!
Wataandika barua ya kuandamana kwa hiyari,kudai kuwa wanahujumiwa[emoji1787][emoji1787]Ngoja tuone watafanya nini. Yaani Ikitokea wakafungwa au wakatoa droo, sijui itakuwaje tu[emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Wamewashikia nafasi wanaumeHivi Yanga ipo nafasi ya ngapi kwenye msimamo wa ligi?