Linguistic
JF-Expert Member
- Mar 16, 2021
- 3,669
- 8,268
Sisi KMC tunaruhusiwa kuendelea Kupost au [emoji12]Baada ya simba kuzivusha Timu nne CCL, azam wamepata tamaa ya kushiriki. Iwapo yanga atapoteza hii mechi ya leo, atageuka kuwa mshindani wa Azam na sio Simba tena.
Sent using Jamii Forums mobile app