Yanga Sc 2-0 Taifa Jang’ombe | Mapinduzi Cup | Zanzibar

Yanga Sc 2-0 Taifa Jang’ombe | Mapinduzi Cup | Zanzibar

Ikitokea Yanga amepoteza mechi ya leo, vichwa vya habari magazetini vitasomeka:
1. Yanga yachezea ‘Muhogo wa Jang’ombe’
2. Jang’ombe yaichana Yanga na muhogo
 
Sema ukweli hamna timu yoyote inaweza kuizdi nguvu vilabu vya bara ,hawa taifa wanaziwa hata na geita
Yaani hivi vilabu vya visiwani havina ushindani kabisa hilo nimeliona kwenye mechi ya leo ya simba japo at least wale view walikuwa bora kuliko hawa taifa
 
Wananchi sijui wanafeli wapi, huu uzi wao na siwaoni kuleta update sijui nini kimewakuta na wakati wanaongoza ligi?
 
Sema ukweli hamna timu yoyote inaweza kuizdi nguvu vilabu vya bara ,hawa taifa wanaziwa hata na geita

Hizi TFF ligii kuu Kwanini Haihusishi Vilabu vya Zanzibar na Wote ni Nchi Moja na Sisi Tunatumia Tanzania? Atleast wangekuwa na Timu za Maana mbona kama tunajitenga?
 
Hizi TFF ligii kuu Kwanini Haihusishi Vilabu vya Zanzibar na Wote ni Nchi Moja na Sisi Tunatumia Tanzania? Atleast wangekuwa na Timu za Maana mbona kama tunajitenga?
Ndo maana nasema huu muungano ni kama bosheni tu, mambo mengi yanafanyika ambayo ukiangalia ynaonesha wazi kua ni nchi mbili tofauti
 
Back
Top Bottom