Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani huyu Nkane anasubiri nini hapa Bongo kwa Ndugai?
Kiungo kwenye pilau, sasa huko zenji kuna wapishi wanatumia hadi karafuu utawaambia nini kuhusu shuaboiYule Sure boy aliyekuwa anaimbwa kuwa ni kiungo hatari Tz nzima kwa wachezaji wa ndani, ndo huyu au kuna mwingine??
Upo sahihi, Simba na Yanga sio rahisi kwa mzawa tena kutoka timu ndo kwenda kufanikiwa, haziwapi game time yakutosha kutokana na kasumba yao yakusajili wachezaji wengi wa kigeniSi Yupo anacheza na TAJ ngoja Turejee Ligi Kuu [emoji28][emoji28][emoji28] Angetisha Sana Kama angeenda Azam Au Club Nyingine Tofauti na Simba Na Yanga
Yaani ushabiki umefikia kiwango hiki? Tunakujua kuwa wewe mpenzi, mfuasi na mwanachama wa Simba, leo unajifanya shabiki wa Yanga????Yanga tunashambulia sana
Zanzibar Kuna. Vijana wengi wazuri, mmoja wapo ni huyu kipa. Si ajabu Tanganyika ikicheza na Zanzibar, Tanganyika huwa hatutoboiHuyu Mlinda mlango wa TAJ aje Amrithi Manula Pale Simba
Yani Tanganyika ikaze mashindano ya Bonanza?Zanzibar Kuna. Vijana wengi wazuri, mmoja wapo ni huyu kipa. Si ajabu Tanganyika ikicheza na Zanzibar, Tanganyika huwa hatutoboi
Yupo vizuriGolikipa wa Hawa Taifa Jang'ombe ametulia sana
Naona wameamua kubaki na mwiko wao nyuma. Wamebana kweli hogo la jang'ombe limekosa pa kupita.🤣Full Time
Yanga 2-0 Taifa Jang'ombe
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Naona wameamua kubaki na mwiko wao nyuma. Wamebana kweli hogo la jang'ombe limekosa pa kupita.[emoji1787]