Yanga Sc 2-0 Taifa Jang’ombe | Mapinduzi Cup | Zanzibar

Kwani huyu Nkane anasubiri nini hapa Bongo kwa Ndugai?

Si Yupo anacheza na TAJ ngoja Turejee Ligi Kuu [emoji28][emoji28][emoji28] Angetisha Sana Kama angeenda Azam Au Club Nyingine Tofauti na Simba Na Yanga
 
Yule Sure boy aliyekuwa anaimbwa kuwa ni kiungo hatari Tz nzima kwa wachezaji wa ndani, ndo huyu au kuna mwingine??
 
Yule Sure boy aliyekuwa anaimbwa kuwa ni kiungo hatari Tz nzima kwa wachezaji wa ndani, ndo huyu au kuna mwingine??
Kiungo kwenye pilau, sasa huko zenji kuna wapishi wanatumia hadi karafuu utawaambia nini kuhusu shuaboi
 
Si Yupo anacheza na TAJ ngoja Turejee Ligi Kuu [emoji28][emoji28][emoji28] Angetisha Sana Kama angeenda Azam Au Club Nyingine Tofauti na Simba Na Yanga
Upo sahihi, Simba na Yanga sio rahisi kwa mzawa tena kutoka timu ndo kwenda kufanikiwa, haziwapi game time yakutosha kutokana na kasumba yao yakusajili wachezaji wengi wa kigeni
 
Zanzibar Kuna. Vijana wengi wazuri, mmoja wapo ni huyu kipa. Si ajabu Tanganyika ikicheza na Zanzibar, Tanganyika huwa hatutoboi
Yani Tanganyika ikaze mashindano ya Bonanza?
 
Utopolo mmebebwa viazi nyie!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…