Yanga Sc 2-0 Taifa Jang’ombe | Mapinduzi Cup | Zanzibar

Haya mashindano hayana kabisa maana ni kuchosha tu vilabu na ni njia watu wanajitafutia kupiga pesa tu. Watu wanapenda mno kuchanganya michezo na siasa. Very hopeless.
 
Ni aibu sana Denis nkane kufanana jina moja na kibu,
Kibu inatakiwa abadili jina hata akijiita shibobo sawa tu
 
Naona wameamua kubaki na mwiko wao nyuma. Wamebana kweli hogo la jang'ombe limekosa pa kupita.[emoji1787]
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…