Yanga Sc 2-2 KMKM | Mapinduzi Cup | Zanzibar

Fei Toto is awarded a man of the match.
 
Makolo wenzangu mbona tunaumizwa sana na matokeo ya Yanga kiasi hiki? Tumekuwa ni watu duni kiasi hiki?
 
Niliwaambia huyu kipa yanga wamepigwa mkabisha.
Kwahiyo lile kumbato limeenda burebure?

Kwakua hakuna habari za wao kushinda, haya sasa hebu tujadili hiyo tabia kukumbaita wanaume.
 
Goli la kideo


Your browser is not able to display this video.
 
Wazanzibar ni watu wapenda haki sana wala hawapendi rushwa nasikia wamezikataa bahasha za hersi kabisaaaaa
 
Fei toto anakwambia alivyofunga goli dakika zilikuwa zimeisha, hakika utopolo ni utopolo.
 
Sio kweli mkuu ingekuwa hivyo jana Mudathir Yahaya angepewa huo uchezaji bora wa mechi.
 
Goli bora la kumalizia mechi hili hapa, hapa manara ndo atadai hizo 29,000/= kwa fujo kishenzi


Your browser is not able to display this video.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…