Yanga Sc 2-2 KMKM | Mapinduzi Cup | Zanzibar

Yanga Sc 2-2 KMKM | Mapinduzi Cup | Zanzibar

alishazoea kufungwafungwa tangu kule Mtibwa. Sijui kwa nini hawakuongea na Simba wamchukue Jeremia Kisubi kwa mkopo
Wamemsajiri kimihemko wakisikiliza maneno ya wachambuzi wa mchongo.
 
Feisal aliigharimu timu kwa kuwananga KMK kwamba

Kosa lipo hapa alipofunga na kuvua shati kisha kuweka ishara za kebehi

 
Habari zetu Mnazo🥱🥱,, kweli Yanga ndo timu inayofuatiliwa sana hapa nchini.
Ile habari wala haihitaji kuifuatilia Yanga, inasambaa yenyewe. Unategemea habari ya kukatazwa kuchat isisambae mitandaoni?
 
Back
Top Bottom