Lupweko
JF-Expert Member
- Mar 26, 2009
- 23,566
- 24,891
alishazoea kufungwafungwa tangu kule Mtibwa. Sijui kwa nini hawakuongea na Simba wamchukue Jeremia Kisubi kwa mkopoNiliwaambia huyu kipa yanga wamepigwa mkabisha.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
alishazoea kufungwafungwa tangu kule Mtibwa. Sijui kwa nini hawakuongea na Simba wamchukue Jeremia Kisubi kwa mkopoNiliwaambia huyu kipa yanga wamepigwa mkabisha.
huyo ndio mchezaji star utopolo,akili utopoloFei toto anakwambia alivyofunga goli dakika zilikuwa zimeisha, hakika utopolo ni utopolo.
[emoji23][emoji23] hiyo sina mkuu.Kuna ile moja alipigwa back-hug na Engineer, kama unayo ipandishe hapahapa kwenye uzi wao mkuu[emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Jamaa ana matatizo siyo bure
Who is your favourite player by the way?It's probably a favor since he's at his home ground.
Wamemsajiri kimihemko wakisikiliza maneno ya wachambuzi wa mchongo.alishazoea kufungwafungwa tangu kule Mtibwa. Sijui kwa nini hawakuongea na Simba wamchukue Jeremia Kisubi kwa mkopo
What exactly are you trying to mean, man of the match or ??Who is your favourite player by the way?
Na bado wapo wanaongoza league[emoji16][emoji3]Wamemsajiri kimihemko wakisikiliza maneno ya wachambuzi wa mchongo.
29,000/= (MO29) ni ndefu. Hakuna kuchat hadi uonyeshe risiti na TIN numberWengi hatuwaoni huku, hawajalipa tozo
Mmekua mkiongoza kwa misimu minne mfululizo lakini mwisho wa siku mnajua kinachoenda kutokea.Na bado wapo wanaongoza league[emoji16][emoji3]
Habari zetu Mnazo🥱🥱,, kweli Yanga ndo timu inayofuatiliwa sana hapa nchini.29,000/= (MO29) ni ndefu. Hakuna kuchat hadi uonyeshe risiti na TIN number
Kiukweli hata mimi nimepata mashaka sana ngoja niiweke hapa clip yakeSio mara ya kwanza [emoji23]View attachment 2072300
atapigwa mpaka achakaeWamemsajiri kimihemko wakisikiliza maneno ya wachambuzi wa mchongo.
Acha tusubiriatapigwa mpaka achakae
Mwaka huu hamna vipolo boss.Mmekua mkiongoza kwa misimu minne mfululizo lakini mwisho wa siku mnajua kinachoenda kutokea.
Ile habari wala haihitaji kuifuatilia Yanga, inasambaa yenyewe. Unategemea habari ya kukatazwa kuchat isisambae mitandaoni?Habari zetu Mnazo🥱🥱,, kweli Yanga ndo timu inayofuatiliwa sana hapa nchini.
kwamba ukiwa na kipolo basi ni guarantee ya ushindi ??Mwaka huu hamna vipolo boss.
Mmekua mkichukua ubingwa kwa vipolo.
Ngoja warudi nae NBC, watapigwa nyingi sana.Na bado wapo wanaongoza league[emoji16][emoji3]