GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Macho yangu yana hitilafu Mkuu na kwa mbali hivi naona kama vile ni Mr and Mrs je, nimepatia au Kesho nikimbie haraka pale Msasani CCBRT kwa Matibabu zaidi?
So what are you actually trying to justify here?Ifahamike tu kuwa Yanga imecheza na anayeongoza ligi ya Zanzibar
Kabla hatujaenda mbali, unafahamu walau concept ya 'mambo ya Muungano'?Ndio maana Kama Tanzania ni moja inakuwaje kwenye ligi kila MTU Ana ligi yake?
Macho yangu yana hitilafu Mkuu na kwa mbali hivi naona kama vile ni Mr and Mrs je, nimepatia au Kesho nikimbie haraka pale Msasani CCBRT kwa Matibabu zaidi?
Mbwa wangu Jike huwa akitaka Kupandwa na Dume langu hupenda sana Kumsumbua, Kumlalia, Kumchumu mno Mdomoni huku akipanua hovyo hovyo Miguu yake na Binafsi hulifurahia zaidi hili Tukio na Kulikodolea mwanzo mwisho.Sijajua lengo lake lilikua ni nini pale kumvuta hersi shingo huku akipeleka mdomo wake
Yaani kaniacha na maswali mengi, nimefikiria na kuwaza naona kama kabwili alionewa tu
Kabla hatujaenda mbali, unafahamu walau concept ya 'mambo ya Muungano'?
kwa ufupi ni kwamba pamoja na uwepo na Muungano halali, lakini pia kuna mambo ambayo yamehalaishwa kuwa sio ya MuunganoHapanaa.nipe nipe elimu
kwa ufupi ni kwamba pamoja na uwepo na Muungano halali, lakini pia kuna mambo ambayo yamehalaishwa kuwa sio ya Muungano
Umeelewa vizuri tu nazungumzia aina ya wapinzani anaokutana nao Yanga. Yanga imecheza na KMKM ambaye ni kinara wa ligi kuu Zanzibar na pia jang'ombe ambeye yupo top fourSo what are you actually trying to justify here?
Ujue au usijue ilipo, cha msingi ni kwamba Muungano upo, na waliojaribu kuuchezea walishughulikiwaKumbe unajua hati ya muungano IPO wapi?
kwa hiyo tukate rufaa ZFA?Umeelewa vizuri tu nazungumzia aina ya wapinzani anaokutana nao Yanga. Yanga imecheza na KMKM ambaye ni kinara wa ligi kuu Zanzibar na pia jang'ombe ambeye yupo top four
Simba imecheza na Selem view ambao wapo mkiani na leo na mlendege ambao wapo nafasi ya tano.
Ujue au usijue ilipo, cha msingi ni kwamba Muungano upo, na waliojaribu kuuchezea walishughulikiwa
Yanga ikiwa na mashaka Simba lazima wafurahi, and vice-versa. Kitendo cha Yanga kuruhusu bao mbili kuingia wavuni kinafanya wachezaji na mashabiki wa Yanga kuingiwa na mashaka, na hiyo ndio furaha za mnyama. Kinachotakiwa na Yanga ni kuombea Simba nayo iruhusu mabao kama mawili hivi kwenye mchezo wake, hapo kutakuwapo utulivu pande zoteHapa yanga amefuzu mashabiki wa simba wanatapika hivi,,sipati picha kama tusinge qualify.
Hersi anajaribu kumzuia lakini mchizi anaforceHuyu jamaa anachafua taswira ya mwenzake! It's too much! Mara ya kwanza mechi fulani, nilidhani ni furaha ya ushindi, lakini hata kwa KMKM jamani ndo kulazimisha kukumbatiwa?
Hapo hamna kitu mzee, wadau washakipitia kishungiAnaona raha kutomaswa manyonyoView attachment 2072385
Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
Kiukweli amenisikitisha sana kwa kitendo hicho, ujue ile picha yake ya zamani akiwa ameshikwa maziwa nilikuwa najua imeeditiwa, lakini hii ya leo ndo imenifanya nigundue kwamba sikuwa sahihi