Yanga Sc 2-2 KMKM | Mapinduzi Cup | Zanzibar

Yanga Sc 2-2 KMKM | Mapinduzi Cup | Zanzibar

Feisal salumu kakosa goli la wazi hapa
 
Makambo naye kapiga pasi ya fyongo
 
Hii mechi wanayanga tuwe makini sana
 
KMK wapo vizuri na wana utuluvu
 
Nyie Hawa kmkm wasije wakamtoboa mwananchi!
 
KMK wanapata kona ya pili ya mchezo
 
Hii mechi mpaka inaenda halftime kwa dakika hizi zilizocheza naiona kabisa KMK akiongoza umiliki wa mpira
 
KMK amefika mara nyingi kwenye goli la yanga ila amekosa utulivu kuliko yanga
 
Naziona dalili za mwananchi kupasuka hapa!
 
Kona imepigwa lakini haijawa na madhara na mpira umetoka nje na kuwa goal kick
 
Back
Top Bottom