holoholo
JF-Expert Member
- May 10, 2023
- 1,859
- 2,986
Mabingwa watetezi wa kombe la CRDB FEDERATION CUP, YOUNG AFRICANS SC watakuwa dimbani leo majira ya saa 10kamili jioni,wakimenyana vikali na Coastal Union ya Tanga.
Timu ipi kusonga hatua inayofuata katika mashindano haya?
Ambatana nami mwanzo hadi mwisho kukuletea updates/yanayojiri moja kwa moja kutoka katika mchezo huu
KARIBU
Dk 79 ki anapiga freekik inaishia ktk ukutatwa coastal union