Wakipekee
JF-Expert Member
- Aug 21, 2019
- 6,194
- 10,711
Upo sahihiFA yao ilipata barua ya Ahly, haikuahirisha. FA yetu ilipata barua ya Simba, ikaahirisha.
NB: Simba isingeenda uwanjani kwenye mechi ambayo imeshaahirishwa, hakuna waamuzi, kamisaa wala walinzi wa usalama