LIVE Yanga SC 3-1 Coastal Union | CRDB Federation Cup | 12.03.2025 | KMC Complex | 10:00 Jioni

LIVE Yanga SC 3-1 Coastal Union | CRDB Federation Cup | 12.03.2025 | KMC Complex | 10:00 Jioni

Live coverage on JamiiForums
Ushindi mnono kwa wananchi 🟢🟩💚🟡🟨💛
 
GSM (Tawi la Jangwani, Dar) vs GSM (Tawi la Barabara ya 11, Tanga)
 
Umeona cha soka Misri?? Hawakuahirisha mechi kama haya ya kwetu. Hawakuiogopa ni timu gani kama haya yetu
 
Umeona cha soka Misri?? Hawakuahirisha mechi kama haya ya kwetu. Hawakuiogopa ni timu gani kama haya yetu
FA yao ilipata barua ya Ahly, haikuahirisha. FA yetu ilipata barua ya Simba, ikaahirisha.
NB: Simba isingeenda uwanjani kwenye mechi ambayo imeshaahirishwa, hakuna waamuzi, kamisaa wala walinzi wa usalama
 
Back
Top Bottom