Wagosi bingwaMabingwa watetezi wa kombe la CRDB FA CUP, YOUNG AFRICANS SC watakuwa dimbani leo majira ya saa 10kamili jioni,wakimenyana vikali na Coastal Union ya Tanga.
Timu ipi kusonga hatua inayofuata katika mashindano haya?
Ambatana nami mwanzo hadi mwisho kukuletea updates/yanayojiri moja kwa moja kutoka katika mchezo huu
KARIBU
Umewahiwa.CRDB Bank Federation Cup
Leo saa 10:00 jioni, Yanga SC watakuwa dimba la KMC Complex wakiwakaribisha Coastal Union, mechi ya hatua ya 32 bora.
View attachment 3267704
ni huzuniiUmewahiwa.
Wajinga wa aina yako ndio mtaji mkubwa wa chama tawala nchiniKila la heri kiboko ya makolo, wakisikia Yanga wanatoka nduki kama mtu aliyefumaniwa akapata upenyo