LIVE Yanga SC 3-1 Coastal Union | CRDB Federation Cup | 12.03.2025 | KMC Complex | 10:00 Jioni

Live coverage on JamiiForums
FA yao ilipata barua ya Ahly, haikuahirisha. FA yetu ilipata barua ya Simba, ikaahirisha.
NB: Simba isingeenda uwanjani kwenye mechi ambayo imeshaahirishwa, hakuna waamuzi, kamisaa wala walinzi wa usalama
Upo sahihi
 
Kwa Mpira tuliouona wa Simba na TMA Jana, Kweli Simba alikuwa na haki ya kufanya figisu za kukimbia derby!
Hata leo sijaona timu ya kuizuia Simba kuichapa
 
Simba alimfunga coastal union 3 kwa 0 tena akiweka kikosi B.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ