Ndio uwezo wetu Kwa Sasa🤸.Nimeona huu ujinga wa Simba kushangilia clean sheet badala ya kushangilia point tatu. Unayeruhusu goli huku amepata alama tatu ni mbora zaidi kuliko aliyetoa sare ya bila kufungana
Bwire alitangulizwa na Baiskeli ya Miti!!!!!!! HahahaaaaMechi Ya Yanga dhidi ya Ruvu Shooting haijawahi kumalizika bila goli katika mechi nane za ligi kuu walizokutana tangu msimu wa 2017/18. Yanga imeshinda mechi sita, sare moja na kupoteza mara moja na ushindi siku zote umekuwa ni wa tofauti ya goli moja.
Yanga amefunga Jumla ya Magoli 13, Fuvu Shooting Goli 8, Jumla Kwa michezo yotr ni Goli 21
Je, Leo Itakuwaje?
Ni saa 12 : 15 Jioni Ya Leo
====
Mpira umeisha uwanja wa Benjamin Mkapa Yanga ikishinda dhidi ya Ruvu Shooting magoli 3-1.
Ruvu Shooting imecheza pungufu sehemu kubwa ya mchezo baada ya mchezaji wake kupewa kadi nyekundu na pamoja na kutangulia kuliona lango la Yanga imeshindwa kupata matokeo chanya mwisho wa mchezo.
Sasa tuambie habari ya Mikia fc, aliyekuwa akiwabeba ni miquisoni na chamasoni au mini kimebadilika hapo kwenu.Mbeleko fc
Ndio maana hata akibebwa vipi kimataifa habebeki.
Tena ilikuwa inaserereka pale kitonga🤸.Bwire alitangulizwa na Baiskeli ya Miti!!!!!!! Hahahaaaa
Kwahiyo umekubali ubora na mafanikio ya Simba yalitokana na uwezo wa wachezaji wao ndani ya uwanja na sio kimagumashi kama gongowazi wanavyojaribu kufanya chini ya GSM?Sasa tuambie habari ya Mikia fc, aliyekuwa akiwabeba ni miquisoni na chamasoni au mini kimebadilika hapo kwenu.
Tena ilikuwa inaserereka pale kitonga🤸.
Ujumbe ni kuwa mafanikio yenu, mlibebwa na chama na miquisoni pekee, au hata aliyekuwamzungu wenu manara na mwenyekiti tuliowachukulia walikuwa na mchango, kwenye mafanikio yenu?Kwahiyo umekubali ubora na mafanikio ya Simba yalitokana na uwezo wa wachezaji wao ndani ya uwanja na sio kimagumashi kama gongowazi wanavyojaribu kufanya chini ya GSM?
Makolo au makorokocho aka mikia fc.Yanga tumeambiwa tusiwe na viburi, kwahyo hatuna kelele nyingi
Another 3+Points, 5 matches with 15 Points and top of the table
NB:Kesho Makolo wanacheza na Namungo, kuna harufu ya kupoteza tena point 2 inanukia
Wanangu wa Namungo naomba sare tu inatosha
Swali ni je,wachezaji wa Simba na benchi lao la ufundi kuna jambo la kujifunza wameliona kutoka Yanga?simba tunalo la kujifunza kutoka yanga.
kama hamtoona basi kamwe hamto badilika.
Nyinyi Wana wa Eymel, cleansheet ni moja kati ya metrics za performanceNimeona huu ujinga wa Simba kushangilia clean sheet badala ya kushangilia point tatu. Unayeruhusu goli huku amepata alama tatu ni mbora zaidi kuliko aliyetoa sare ya bila kufungana
Kweli Rage hakukosea kuwaita MbumbumbuNyinyi Wana wa Eymel, cleansheet ni moja kati ya metrics za performance
Basi kama vipi Simba itoe sare za bila kufungana hadi mwisho wa msimu ili tuone kama ubingwa watapataNyinyi Wana wa Eymel, cleansheet ni moja kati ya metrics za performance
Kwahiyo kwa umbumbu wao uaona bora mechi iishe kwa kutoa sare y bila bila kuliko kushinda kwa mbili moja?Nyinyi Wana wa Eymel, cleansheet ni moja kati ya metrics za performance