Yanga sc 3-1 Ruvu shooting | ligi kuu | Benjamin Mkapa

Yanga sc 3-1 Ruvu shooting | ligi kuu | Benjamin Mkapa

Nimeona huu ujinga wa Simba kushangilia clean sheet badala ya kushangilia point tatu. Unayeruhusu goli huku amepata alama tatu ni mbora zaidi kuliko aliyetoa sare ya bila kufungana
Ndio uwezo wetu Kwa Sasa🤸.
 
Mechi Ya Yanga dhidi ya Ruvu Shooting haijawahi kumalizika bila goli katika mechi nane za ligi kuu walizokutana tangu msimu wa 2017/18. Yanga imeshinda mechi sita, sare moja na kupoteza mara moja na ushindi siku zote umekuwa ni wa tofauti ya goli moja.

Yanga amefunga Jumla ya Magoli 13, Fuvu Shooting Goli 8, Jumla Kwa michezo yotr ni Goli 21

Je, Leo Itakuwaje?

Ni saa 12 : 15 Jioni Ya Leo

====

Mpira umeisha uwanja wa Benjamin Mkapa Yanga ikishinda dhidi ya Ruvu Shooting magoli 3-1.

Ruvu Shooting imecheza pungufu sehemu kubwa ya mchezo baada ya mchezaji wake kupewa kadi nyekundu na pamoja na kutangulia kuliona lango la Yanga imeshindwa kupata matokeo chanya mwisho wa mchezo.
Bwire alitangulizwa na Baiskeli ya Miti!!!!!!! Hahahaaaa
 
Tunalisubiria kubwa jinga KOLO iyo kesho linavyokufa kwa Mkapa,NI UZUNI KWAKWELI [emoji22][emoji22][emoji22]
 
Sasa tuambie habari ya Mikia fc, aliyekuwa akiwabeba ni miquisoni na chamasoni au mini kimebadilika hapo kwenu.
Kwahiyo umekubali ubora na mafanikio ya Simba yalitokana na uwezo wa wachezaji wao ndani ya uwanja na sio kimagumashi kama gongowazi wanavyojaribu kufanya chini ya GSM?
 
Yanga tumeambiwa tusiwe na viburi, kwahyo hatuna kelele nyingi

Another 3+Points, 5 matches with 15 Points and top of the table

NB:Kesho Makolo wanacheza na Namungo, kuna harufu ya kupoteza tena point 2 inanukia

Wanangu wa Namungo naomba sare tu inatosha
 
Kwahiyo umekubali ubora na mafanikio ya Simba yalitokana na uwezo wa wachezaji wao ndani ya uwanja na sio kimagumashi kama gongowazi wanavyojaribu kufanya chini ya GSM?
Ujumbe ni kuwa mafanikio yenu, mlibebwa na chama na miquisoni pekee, au hata aliyekuwamzungu wenu manara na mwenyekiti tuliowachukulia walikuwa na mchango, kwenye mafanikio yenu?
 
Yanga tumeambiwa tusiwe na viburi, kwahyo hatuna kelele nyingi

Another 3+Points, 5 matches with 15 Points and top of the table

NB:Kesho Makolo wanacheza na Namungo, kuna harufu ya kupoteza tena point 2 inanukia

Wanangu wa Namungo naomba sare tu inatosha
Makolo au makorokocho aka mikia fc.
 
simba tunalo la kujifunza kutoka yanga.
kama hamtoona basi kamwe hamto badilika.
Swali ni je,wachezaji wa Simba na benchi lao la ufundi kuna jambo la kujifunza wameliona kutoka Yanga?

Sisi mashabiki wa Simba wala hatujapata ugumu kuona na kujifunza kutoka Utopoloni.Yanga wanacheza kwa spirit, wanatengeneza nafasi na wanazitumia kufunga,wanahamu sana ya kufunga kiasi kwamba mchezaji akikosa nafasi ya wazi ya kufunga anajuta kweli kweli (hali hii ni tofauti kwa Mugalu wa Simba,ambaye hutabasamu baada ya kukosa goli na kuendelea kutafuna jojo kama mbuzi anakula michongoma,kana kwamba hana cha kujutia.How indifferent is Mugalu and his colleagues!). Sisi mashabiki tunaumia ila yale masenge yenyewe yanachukulia poa tu.
 
IMG_20211102_213311.jpg
IMG_20211102_213316.jpg
 
Nimeona huu ujinga wa Simba kushangilia clean sheet badala ya kushangilia point tatu. Unayeruhusu goli huku amepata alama tatu ni mbora zaidi kuliko aliyetoa sare ya bila kufungana
Nyinyi Wana wa Eymel, cleansheet ni moja kati ya metrics za performance
 
Back
Top Bottom