Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 59,045
- 94,974
Baskeli ya barafu, tumemtanguliza asubuhi, ngoja jua limuwakieligi bado ,baiskeli ya miti hiyo
mechi yenu na Polisi mlifunga kwa njia gani ?Yani upungufu wa wachezaji wa ruvu haukuwaridhisha yanga kuwa na hakika wa kushinda mechi so ikawabidi watumie mapumziko kufanya mapatano ya bei na refa
mechi ilishaisha kwamba fanyeni foul halafu tunawapiga red card ,baada ya mda foul lingine tunawafunga penati,tushamalizana na refa ,kuhusu ule mzigo mtamalizana na kocha wenu.Biriani imekuwa buriani
kwa kupiga mpira hadi kuingia golinimechi yenu na Polisi mlifunga kwa njia gani ?
Manara kawa mshauri wa GSM, naskia ndiye anaye kabidhiwa pesa za hongomechi ilishaisha kwamba fanyeni foul halafu tunawapiga red card ,baada ya mda foul lingine tunawafunga penati,tushamalizana na refa ,kuhusu ule mzigo mtamalizana na kocha wenu.
tutashinda mkuu Ruvu ni Yanga B ,tutashinda hata kwa kubebwaRuvu pamoja na kwamba wapo pungufu ila wakipata mpira wanakuwa hatari zaidi golini kwetu.
Refa ameliona hilo na ilikua ni sehemu ya maagizo kaishapewa utaratibu kwa hiyo usijari hawana madhara yeyote endelea kuinjoy kabumbuRuvu pamoja na kwamba wapo pungufu ila wakipata mpira wanakuwa hatari zaidi golini kwetu.
man of the matchRefa kaupiga mwingi
napata hofu maana Coastal Union a.k.a Simba B waliwakazia mno masponsa wao juzi.tutashinda mkuu Ruvu ni Yanga B ,tutashinda hata kwa kubebwa
Sana tu. Na baada ya kufunga huwa anapotea mchezoniMayele ni mbahatishaji