Yanga sc 3-1 Ruvu shooting | ligi kuu | Benjamin Mkapa

Yanga sc 3-1 Ruvu shooting | ligi kuu | Benjamin Mkapa

Yani upungufu wa wachezaji wa ruvu haukuwaridhisha yanga kuwa na hakika wa kushinda mechi so ikawabidi watumie mapumziko kufanya mapatano ya bei na refa
mechi yenu na Polisi mlifunga kwa njia gani ?
 
Biriani imekuwa buriani
mechi ilishaisha kwamba fanyeni foul halafu tunawapiga red card ,baada ya mda foul lingine tunawafunga penati,tushamalizana na refa ,kuhusu ule mzigo mtamalizana na kocha wenu.
 
kwenye mechi za yanga ndio vituko vingi vinafanyika

Mwaka jana tulimaliza msimu kwa goal kona, inaonekana msimu huu kutakua na vitimbwi vingi
 
mechi ilishaisha kwamba fanyeni foul halafu tunawapiga red card ,baada ya mda foul lingine tunawafunga penati,tushamalizana na refa ,kuhusu ule mzigo mtamalizana na kocha wenu.
Manara kawa mshauri wa GSM, naskia ndiye anaye kabidhiwa pesa za hongo
 
Magoli ya kimchongo hata hayanogi naona utopolo wamekuwa kimya gafla hata wao wameshtuka
 
Ruvu pamoja na kwamba wapo pungufu ila wakipata mpira wanakuwa hatari zaidi golini kwetu.
Refa ameliona hilo na ilikua ni sehemu ya maagizo kaishapewa utaratibu kwa hiyo usijari hawana madhara yeyote endelea kuinjoy kabumbu
 
Tujifunze kuwa na marefa matajiri, haya maswala ya kwamba mtu anafanya training ya urefa na kaajiliwa kwasababu nyumbani tembele halichemki matokeo yake ndio haya, Refa hata akiahidiwa laki 5 yuko tayari kufanya ufuska ambao kwa macho ya kawaida tu kila mtu anaona ni ubebwaji
 
TFF hizi habari za kupanga marefa wenye madeni kuchezesha mechi naomba tabia hii ikome
 
Yanga wapo 13 lakini hawana madhara kwa timu yenye wachezaji 10
 
Huyu kibangala juzi hapa jf nimesoma uzi ukimtuhumu kwa wizi leo hii namskia uwanjani, sikumbuki link
 
Back
Top Bottom