timu ya wananchi
Incomplete InfoWakuu,
Mabingwa watetezi wa kombe la CRDB FEDERATION CUP,YOUNG AFRICAN SC Leo watashuka katika dimba la KMC kuwakaribisha STAND UNITED ya mkoani shinyanga katika hatua ya mtoano ya robo fainali.
Ni matokeo ya aina moja tu ndiyo yanahitajika katika mchezo huu,ushindi pekee utakao iwezesha timu moja kusonga mbele katika hatua ya nusu fainali.
Fuatana nami sako kwa bako kukuletea yanayojiri mubashara kupitia uzi huu.
Karibuni
JKt ya kazumariMshindi wa hapa atacheza na nani semi final?
Ulikua unakimbilia wapinimerekebisha,nimeanzisha nikiwa na wenge la usingizi mkuu
Magufuli bus terminal.wazee wa terminal ndo timu gani