WANASIFA HAWA YANGA, TAR 8 WALITAKA KUCHEZESHA KIKOSI HIKI HIKI... SEMA NINI MANGUNGU ALISHTUKIA MAPEMA!Hizi ndizo mechi za Utopolo za kujimwambafy.. kulikuwa na haja gani kuchezesha kikosi cha kwanza?
Dah.. kumbe Isra yuko kikosi cha kwanza cha Utopolo!!Akijacheza kikosi cha kwanza. Wachezaji 7 wa first eleven hawakuwepo ambao ni israh, job, boka, abuya na mzize.. ukiachana na pacome na aucho ambao majeruhi
diara sasa hivi ni shuka tu vijana wadogo wanajipatia tittle kwake kwamba nimemfungaHivi Diarra huwa anabetigi GG kwenye mechi za Yanga
naneNasikia chuma zimeingia 5
ndo mechi zao
Acha maneno wewe! Tuwekee kwanza zile takwimu zako za Kihasibu, za kuhusu Yanga kumnunua Aziz Kii kwa milioni 400!Kila mechi lazima Diarra apigwe mimba na kibamia
Acha wivu mtani 😅😆Uwiiii kwa timu gani mliyocheza nayo buahahahahahaha...eti na nyie mmevuka nysu fainali hahaha
kijana oya oya utamjua tu hata kama haumfahamu, coments zao zinapambwa na maneno kama usenge,ufala nk ili kuonesha wao kuwa wana akili, bro The Legacy akili haipimwi kwa kutukana, akili hupimwa kwa hoja na mchango chanya katika jamii husika. Umejivua nguo kuonesha uwenda wazimu wako.Katika uzi wa mpira ulioanzishwa ******* ni huu.
Sijui ana harakia wapi huyu mbwa
Sasa hapa Yanga ilicheza na timu kweli au walikuwa wanafanya promo za jezi tu? Wachezaji wa Stendi wote wakamatwe wakalazwe stendi ya mabasi warudi kwao kesho asubuhi.Wakuu!
Majira ya saa 10kamili jioni ya leo, Mabingwa watetezi wa kombe la CRDB FEDERATION CUP,YOUNG AFRICAN SC Leo watashuka katika dimba la KMC kuwakaribisha STAND UNITED ya mkoani shinyanga katika hatua ya mtoano ya robo fainali.
Ni matokeo ya aina moja tu ndiyo yanahitajika katika mchezo huu,ushindi pekee utakao iwezesha timu moja kusonga mbele katika hatua ya nusu fainali.
Fuatana nami sako kwa bako kukuletea yanayojiri mubashara kupitia uzi huu.
Vikosi vya timu zote mbili
16' Gooal - Aziz Ki
20' Gooal - Kibabage
32' Goooal - Chama
41' Goooal - Chama
49' Goooal - Msenda
61' Gooooal - Aziz Ki
63' Gooooal - Aziz Ki
67' Gooal - Aziz Ki
87' Goooal - Musonda
Dakika 2 zimeongezwa
FT | Yanga SC 8-1 Stand United FC
Wakuu!
Majira ya saa 10kamili jioni ya leo, Mabingwa watetezi wa kombe la CRDB FEDERATION CUP,YOUNG AFRICAN SC Leo watashuka katika dimba la KMC kuwakaribisha STAND UNITED ya mkoani shinyanga katika hatua ya mtoano ya robo fainali.
Ni matokeo ya aina moja tu ndiyo yanahitajika katika mchezo huu,ushindi pekee utakao iwezesha timu moja kusonga mbele katika hatua ya nusu fainali.
Fuatana nami sako kwa bako kukuletea yanayojiri mubashara kupitia uzi huu.
Vikosi vya timu zote mbili
16' Gooal - Aziz Ki
20' Gooal - Kibabage
32' Goooal - Chama
41' Goooal - Chama
49' Goooal - Msenda
61' Gooooal - Aziz Ki
63' Gooooal - Aziz Ki
67' Gooal - Aziz Ki
87' Goooal - Musonda
Dakika 2 zimeongezwa
FT | Yanga SC 8-1 Stand United FC
Kombe la shirikisho, imeshinda 8😂Ukiulizwa na kolo yanga kashinda goli ngapi dhidi ya stand mjibu kama tarehe ile simba aliyokimbia mechi