Tony Laurent
JF-Expert Member
- Jan 5, 2011
- 6,441
- 8,408
😅😅Safari hii hatuingii mitini.Msikipingie tena
😅😅Safari hii hatuingii mitini.Msikipingie tena
Jkt mkuuMkishinda hapa mnakutana na nani mkuu
Tumepata la 6 hukoWamekata?
Nasikia mnajipigia tu huko
ndo mechi zake zakuosha zilizobakiHuyu Chama ni Dennis Berkamp mtupu
mtani tunaendelea kushine 😁😉Wakuu,
Majira ya saa 10kamili jioni ya leo, Mabingwa watetezi wa kombe la CRDB FEDERATION CUP,YOUNG AFRICAN SC Leo watashuka katika dimba la KMC kuwakaribisha STAND UNITED ya mkoani shinyanga katika hatua ya mtoano ya robo fainali.
Ni matokeo ya aina moja tu ndiyo yanahitajika katika mchezo huu,ushindi pekee utakao iwezesha timu moja kusonga mbele katika hatua ya nusu fainali.
Fuatana nami sako kwa bako kukuletea yanayojiri mubashara kupitia uzi huu.
Vikosi vya timu zote mbili
16' Gooal - Aziz Ki
20' Gooal - Kibabage
32' Goooal - Chama
41' Goooal - Chama
49' Goooal - Msenda
61' Gooooal - Aziz Ki
63' Gooooal - Aziz Ki
67' Gooal - Aziz Ki
watoto wa stendi wanajua tu kupiga debe siyo mpiramtani tunaendelea kushine 😁😉
ndo mechi zaoUnapiga bom monchwari
Wivu tuKuwafunga Mc Algiers hamuwezi
Mechi za masoko cup ndo mnakaza
Akijacheza kikosi cha kwanza. Wachezaji 7 wa first eleven hawakuwepo ambao ni israh, job, boka, abuya na mzize.. ukiachana na pacome na aucho ambao majeruhiHizi ndizo mechi za Utopolo za kujimwambafy.. kulikuwa na haja gani kuchezesha kikosi cha kwanza?
wana hofu kimataifa wakose na huku tena, walikimbia derby tutakutana tu c walisema hatuchezi na simba tuone sasaHizi ndizo mechi za Utopolo za kujimwambafy.. kulikuwa na haja gani kuchezesha kikosi cha kwanza?