Yanga SC 8-1 Stand United FC | CRDB Bank Federation Cup | KMC Stadium | 15.04.2025

mtani tunaendelea kushine 😁😉
 
yanga kuweni makini msije mkafunga mpaka magoli yaliyotakiwa muwafunge Simba....marudio ya derby
 
Hizi ndizo mechi za Utopolo za kujimwambafy.. kulikuwa na haja gani kuchezesha kikosi cha kwanza?
 
Hizi ndizo mechi za Utopolo za kujimwambafy.. kulikuwa na haja gani kuchezesha kikosi cha kwanza?
Akijacheza kikosi cha kwanza. Wachezaji 7 wa first eleven hawakuwepo ambao ni israh, job, boka, abuya na mzize.. ukiachana na pacome na aucho ambao majeruhi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…