Yanga SC 8-1 Stand United FC | CRDB Bank Federation Cup | KMC Stadium | 15.04.2025

Akijacheza kikosi cha kwanza. Wachezaji 7 wa first eleven hawakuwepo ambao ni israh, job, boka, abuya na mzize.. ukiachana na pacome na aucho ambao majeruhi
Dah.. kumbe Isra yuko kikosi cha kwanza cha Utopolo!!
 
Sasa naelewa kwanini Wana tumia chumvi lakini walikimbia. Jamaa wanaona mbali.
 
Katika uzi wa mpira ulioanzishwa ******* ni huu.

Sijui ana harakia wapi huyu mbwa
kijana oya oya utamjua tu hata kama haumfahamu, coments zao zinapambwa na maneno kama usenge,ufala nk ili kuonesha wao kuwa wana akili, bro The Legacy akili haipimwi kwa kutukana, akili hupimwa kwa hoja na mchango chanya katika jamii husika. Umejivua nguo kuonesha uwenda wazimu wako.
 
Sasa hapa Yanga ilicheza na timu kweli au walikuwa wanafanya promo za jezi tu? Wachezaji wa Stendi wote wakamatwe wakalazwe stendi ya mabasi warudi kwao kesho asubuhi.
 
Mbeya city angemtoa Simba kama sio uwepo wa 3 Malogo
 
Ukiulizwa na kolo yanga kashinda goli ngapi dhidi ya stand mjibu kama tarehe ile simba aliyokimbia mechi
 

Yanga yaani Utopolo yatinga fainali ya kombe la shirikisho TFFCC CRDB kwa kishindo.

KOMBE LA LOOSER, UMMISETA, AKINA MAMA.πŸ‘πŸ‘πŸ’ͺπŸ’ͺ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…