kimarabucha
JF-Expert Member
- Jul 29, 2017
- 791
- 621
Hakika inashangaza sana kwa mashabiki wa klabu ya Yanga kutaka kumfanyia vurugu mchezaji halali wa klabu ya simba Haruna Niyonzima jana uwanja wa ndege wakati akirejea jijini Dar es salama kujiunga na timu yake ya simba.
Ililazimika viongozi wa simba wafanye kazi ya ziada. Nawakumbusha yanga mbona wamekuwa wanawasajili wachezaji wa simba kama Amis tambwe lakini mashabiki wa simba hawawafanyii vurugu wachezaji hao?
Sent using jamii forums mobile app